Taarafa ya Lurambi, muhula wa pili, mwaka wa 2011 - Insha

posted Sep 2, 2015, 5:00 AM by Maurice Nyamoti   [ updated Sep 2, 2015, 5:02 AM ]

Maagizo: Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja na nusu ukifuata maagizo uliyopewa

Umechaguluwa kutoa hotuba kwa niaba ya wanafunzi wenzako siku ya kuombea watainiwa shuleni mwenu. Andika hotuba yako ............................................................................................................................................................