2.1. Fasihi Kitengo cha Pili Sehemu ya Kwanza - Maswali

posted Jun 21, 2015, 11:06 AM by Maurice Nyamoti   [ updated Jul 20, 2015, 8:39 AM ]

Kutoka swali la 1 mpaka 15, chagua jibu lililo sahihi


1. Shairi la mishororo mwili katika ubeti huitwa_________
a. Tathlitha
b. Tathmina
c. Tarbia
d. tathnia
2. kiambishi ngeli cha jina ngoma ni_________
a. N-N
b. I-ZI
c. NG-NG
d. N
3. Chagua senetensi iliyo mufti.
a. Nguo aliyovaa ilikuwa safi
b. Maji matamu ni yale masafi
c. Waimbaji wle ni wanadhifu mno
d. Kandawala Yule ni mstadi sana
4. Rehema alifafanua mada ile _________kupewa muda mufupi
a. Falaula
b. Licha ya
c. Ilimuradi
d. Bali
5. Chagua kikundi chenye vielezi pekee.
a. Haraka,kijiatu,kijigari
b. Mbio,pole,kweli
c. Kipuuzi,vyema,haraka
d. Ingawa,ila,isipokuwa
6. Ukubwa wa sentensi:mloongo ule wa magari unaelekea nyumbani ni_______
a. Lolongo lile la magari linaelekea majumbani
b. Lolongo zile la magari linaelekea majumbani
c. Miolongo ile ya majigari inaelkea majumbani
d. Milolongo yale ya maji gari inaelakea majumbani
7. “naomba kumwona latif”, Amina alimwambia hamisi.katika usemi wa taarifa itakuwa_____
a. Naomba kumwona latif Amina alimwabia hamisi
b. Latif alimwabia hamisi kumwona Amina
c. Amina alitaka idhini ya hamisi kumwona latif
d. Amina alimwomba hamisi kumwona latif
8. Ndege mmoja alipaa angani akielekea kusini mashariki.je mleu wake uliekea wapi?
a. Kaskazini kaskazini magharibi
b. Kaskazini kaskazini mashariki
c. Mashariki kaskazini mashariki
d. Magharibi kaskazini magharibi
9. Sayari ambayo ina kitu mfano wa pete na yenye miezi kumi ni__________
a. Mshatarii
b. Zohali
c. Utandi
d. zaibaki
10. nguo inapokwama kwenye seng’enge itararuka
a. maruerue
b. mararu
c. raruraru
d. rura
11. watu wanaotumia rununu huweza kutumia arafa kwenye___________
a. skrini
b. runinga
c. kiwambo
d. tanguu
12. hamali ni kwa mkokoteni ilhali______ni kwa gari moshi
a. mhandisi
b. ngariba
c. rubani
d. kandawala
13. hanaisi na kakaye fandana ambaye ni dadaye hamisi wao agalabu huitwa
a. mbiomba
b. binamu
c. halati
d. umbu
14. mazungumuzo ya siri yanayojumuisha watu wasio na nia njema huitwa
a. mzengwe wa waasi
b. kilinge cha waasi
c. kikataa cha waasi
d. kikoa cha waasi
15. hamisi hakuyathamini wala kuyataamadi mawaidha na wasi wa mzee jared. Noor alipompata kwa msemo
a. asiyesikia huona mwenyewe
b. atakaye kukutukana hakosi matango
c. bora kujikwaa dole kuliko ulimi
d. kiliacho pa kijutie.

kiswahili revision papers