2.8. Fasihi Kitengo cha Pili Sehemu ya Nane - Maswali

posted Jun 21, 2015, 11:06 AM by Maurice Nyamoti   [ updated Jul 28, 2015, 12:13 PM ]

Kutoka swali la 1 mpaka 15, chagua jibu lililo sahihi


1. Dalili za kipindupindu ni __________________
a. Kusokotwa na tumbo na kuumwa na kichwa
b. Kisulisuli na kuendesha
c. Kisulisuli na unyonge wa mwili
d. Kutapika na kuendesha
2. Kipindupindu husababishwa na
a. Ngozi ndefu
b. Damu
c. Maji machafu
d. Maji safi
3. Ili kupunguza visa vya mkurupuko wa kipindupindu tunashauriwa tufanye maneno mangapi?
a. Matano
b. Manne
c. Mawili
d. matatu
4. neon wadau lilivyotumika lina maana gani?
a. Viongozi wote
b. Wagonjwa wote
c. Wahusika wote
d. Waaguzi wote
5. Wahudumu wa afya wanastahili kukaa katika______
a. Hali ya haraka
b. Hali ya dharau
c. Hali ya tahadhari
d. Hali ya aste aste
6. Serikali inafaa kuhakikisha kuwa
a. Mifereji iko hali duni
b. Kila mmoja ananawa mikono kabla na baada ya kula
c. Watu wanatumia vyoo badala ya choo
d. Maji safi yanawafikia wakenya
7. Hivi leo tuko karne ya ngapi?
a. 21
b. 23
c. 19
d. 22
8. _________ ili kuangamiza kipindupindu
a. `serikali inawajibika zaidi
b. Madaktari wanawajibika zaidi
c. Kila mshika dau anawajibika
d. Wagonjwa wagonjeke
9. Ni nini huwa katika hali duni?
a. Ziwa
b. Bahari
c. Mifereji
d. Mto
10.methali ipi ingetumiwa kuzungumzia makala haya?
a.usiache mbachao kwa msala upitao
b.mui huwa mwema
c.mchagua jembe si mkulima
d.kinga ni bora kuliko kuponya

kiswahili revision papers