1.3. Kifungu cha Kwanza Sehemu ya Tatu - Maswali

posted Jun 21, 2015, 10:23 AM by Maurice Nyamoti   [ updated Jul 19, 2015, 8:55 PM ]

Soma kifungu Kifuatacho. Kina nafasi 1 mpaka 7. kwa kila nafasi, umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.


Uhifadhi wa mazingira ni jambo __1__ sharti lishughulikiwe __2__ kwa kuwa mazingira ni uhai, hatuwezi kamwe __3__ wito wa __4__, __5__ mitaa yetu imesheheni __6__ ya taka za kila aina. Miti imekatwa kiholela kwa minajili ya kupata mbao __7__ kutengenezea mapaa ya nyumba, __8__ na hali hii tutabakia kujuta.

1. A. ambayo     B. ambaye      C. ambalo     D. ambao
2. A. wote B. kote C. yote D. zote
3. A. kuzingatia      B. kuhimiza    C. kifikiria      D. kupuuza
4. A. kuzilinda B. kuilinda C. kuyalinda D. kililinda
5. A. hata hivyo B. la sivyo C. ka hivyo D. au sivyo
6. A. matuta B. mabumba C. mabiwi D. mabunda
7. A. ya B. la C. wa D. za
8. A. tukienda    B. tukiendelea    C.  tukiendeleza    D. tukiendelea


1.3. Kifungu cha Kwanza Sehemu ya Tatu - Majibu [you need to sign in first and to sign in, you must be a member]

1.4. Kifungu cha Kwanza Sehemu ya Nne - Maswali

1.2. Kifungu cha Kwanza Sehemu ya Pili - Maswali


Nyuma

Lalamika kwa majibu yasiyo sahihi; tuma ujumbe kwa sales@manyamfranchise.com
kiswahili revision papers