2.8. Kifungu cha Pili Sehemu ya Nane - Maswali

posted Jun 21, 2015, 10:23 AM by Maurice Nyamoti   [ updated Jul 25, 2015, 3:31 AM ]

Soma kifungu Kifuatacho. Kina nafasi 1 mpaka 15. kwa kila nafasi, umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.


Sehemu __1__ mashambani zinahitaji __2__ kimaendeleo __3__ kuwa sehemu nyingi zina rutuba. Vinjana __4__baada ya kupata masomo, huhiari __5__mjini kutafuta __6__.Mashamba yameachiwa wazee na bila shaka mazao __7__haba. Hebu tujiulize, __8__sisi vijana tutaziasha sehemu zetu, nani atakaye ziuni? Je, hatujui kuwa chetu na__9__?

1. A. za B. ya C. wa D. la
2. A. kushughulika B. kushughulikwa C. kushughulishwa D. kushughulikiwa
3. A. badala ya B. licha ya C. sembuse D. maadamu
4. A. kingi B. mwingi C. vingi D. wengi
5. A. kaamua B. kuhamwa C. kuhamia D. kuhama
6. A. kazi goya B. kazi yenye hadhi C. kazi za shokoa D. kazi za borongo
7. A. yamekuwa B.limekuwa C. zimekuwa D. ilikuwa
8. A. akiwa B. ijapokuwa C. ikiwa D. ingawa
9. A. mchimba kisima huingia yeye B. nguo ya kuazima haisiriri matako C. mchoma hindi huanza na la kwake D. mchumia juani hulia kivulini.

Magonjwa __10__marudufu kutokana na matumizi ya maji ya visima. Juhudi za wengi za kutafuta __11__zinaendelea __12__kutokana na ukosefu wa fulnsi. Hata hivyo hali huenda __13__baada ya mabomba yaliyo haribika __13__kwani mengi ni makuukuu na __15__na kupoteza kiasi kikumbwa cha maji.

10. A. yameongezeka B. maongezeka C. yataongezeka D. yalizidi
11. A. tiba B. dawaa C. madawa D. matibabu
12. A. kugonga mwamba B. kunga vichwa C.kutia shime D. kutia fora
13. A. ikiboresha B.ikanawiri C. ikaezeka D. ikaimarika
14. A. kujenga B. kununuliwa C. kuonekana D. kukarabatiwa
15. A. huvunja B. huvuja C. hufuja D. hufunja

kiswahili revision papers