3.3. Kifungu cha Tatu Sehemu ya Tatu - Maswali

posted Jun 21, 2015, 10:23 AM by Maurice Nyamoti   [ updated Aug 3, 2015, 9:57 PM ]

Soma kifungu Kifuatacho. Kina nafasi 1 mpaka 10. kwa kila nafasi, umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.


__1__ za lugha ni __2__ za kisanaa ambazo sisi wasomi hutumia katika gange yetu ya usanii. Fani hizi __3__si rahisi kuzibaini__4__ wasomi __5__uhakika wa fani hizi wataka __6__ kwani sisi swala la kufanywa na akina goigoi wale mabwege, bali ni shartyi msomi awe na __7__ katika fani hii. __8__ wahusika ni lazima kushirikiana kwani chambilecho wajadi __9__na waume hakuna__10__ na mume.
1. A. hekaya B. tamadhali C. kazi D. amani
2. A. mbinu B. mabaka C. lakabu D. changamano
3. A. angalau B.kama C.aghalabu D. lama
4. A. hususani B.hususan C. hata D. wala
5. A. limbukeni B.wakongwe C.duni D. sugu
6. A. akili B.makini C.uzuzu D.uzembe
7. A. tajiriba B. takribani C.tajiriba D.takriba
8. A. aidha B. mingairi C.seuze D.fakaifa
9. A. kazi B.bamba C.bambua D.kula
10. A. kula B.kushindana C.uzembe D.bamba
kiswahili revision papers