4.0. Kifungu cha Kujibu Maswali cha Nne Sehemu ya Nunge - Maswali

posted Jun 21, 2015, 9:17 PM by Maurice Nyamoti   [ updated Jul 26, 2015, 9:19 PM ]

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1-15


Ukitaka kufurahia likizi yako basi nenda pwani __1__kenya kuna vitu vingi vya kuvutia .Hata kama wewe ni mgeni, utjua umewasili Mombasa kwani utalakiwa na joto __2__ na minazi __3__ .Hizo ndizo ishara za mwanzo kisha utakutana na __4__ wa pwani . watu___5__ hata unaweza kushanga w ata ku __6__ kwa heshima na taadhima.watukupa msada unaohitaji .jioni unopotembea hasa kandokando ya bahari utaona __7__ ya kupendeza usirudi kabla hujatembea kusini __8__pwani.

1. A .wa B .ya C .mwa D.kwa
2. A .nyingi B. mingi C. jingi D. mwingi
3. A.mirefu B.ndefu C .refu D .mrefu
4. A .waakazi B .mkaaji C .wakaji D. wakazi
5. A .karimu B .wakarimu c .mkarimu D .wakaidi
6. A .amka B .amkia C .salamia D .amsha
7. A .mandari B .maandazi C .mandari D .vitu
8. A .wa B .ya C .za D .cha

ili mtu aweze kuishi na __9__kufanya kazi anahitaji chakula.maisha __10__ kuwapo chakula .vya kula __11__ vipo vya aina__12__,vipo vyakula vya __13__ ipatikanavyo mashambani ,misitu,mitoni,maziwani au baharini. vingine ni vyakula __14__viwandani .mahitaji mengine ya msingi kwa binadamu ni__15__,mavazi na chakula.

9.A. kuendesha B .kuendea C .kuerndeka D .kuendelea
10.A haiwezekani B .hayawezi C .hawezekani D .hayawezenani
11.A .nazo B .nayo C .naye D .navyo
12.A .vingi B .mingi C .mengi D .nyingi
13.A.asali B .asili C .halisi D .rahisi
14.A .vinavyopikwa B .vinavyosahindikwa C .vinavyosindikwa D .vinavyoundwa
15.A .makaazi B .makasi C .makaazini D .makazi

kiswahili revision papers