4.3. Kifungu cha Kujibu Maswali cha Nne Sehemu ya Tatu - Maswali

posted Jun 21, 2015, 9:17 PM by Maurice Nyamoti   [ updated Aug 1, 2015, 10:53 PM ]

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1-10


Katika ulimwengu wa leo, imekuwa ni balaa kubwa kwa watu kupata bahati ya kuonana baada ya kufumkana kwa muda wa miaka mingi. Hali hii imetokana na kinachoitwa na waja maendeleo. Mambo yamebadilika kiasi cha kutoweza kuamini kuwa kuna maadili mema tangu jadi, Hivi majuzi kumetokea visa kadha wa kadha ambavyo vimekuwa vizingiti vikubwa katika jamii.
Baadhi ya visa hivi vinahusu ukware uliohusisha watu mashuhuri mathalan mawaziri .Inavyojulikana katika hali ya maisha endelevu ,hali kama hii ni kukanyaga chechele Inaonekana bayana kuwa gurudumu la maisha limekuwa nzito kiasi cha wanadada kuweza kujikimu
Inavyoonekana maendeleo hasa katika nyanja mbalimbali , yameiwezesha dunia kuwa kama kijiji kidogo kwani maadili ya nchi za ngambo yayanaopukutika kila uchao kupita kwa mitambo ya kisasa kama vile tarakilish, rununu, runinga na mingine mengi , adhia , hii ime fanya walimwengu kuaziwa tabia na matendo ni wazi kwamba jambo hili limekithiri katika jamii ya bila ya kuburuwa na matokeo yake kutahminwa vilivyo matokeyo yake yamekuwa majonzi kusaka na isitoshe kupunguka kwa nguvu kazi waliyo athriwa zaaidi na janga hili ni watu wenye umri wa utovu wa maisha _watu wanaoweza kunipa nchi hili mapato ya juu
Katika shule zetu wazazi wamewapa waliomu kazi nzito ya kuwa funza watoto maarifa ya kisasa na pia maadili mema ya maisha.Hii imewafanya wazazi wengi kujitia hamnazo na kuhepa jukumu lao la kukaa na watoto wao ile kuwa funza utu uzima.kwa ajili hii wazazi ambao hawaelewi jukumu lao wanapokanywa na mwishowe ku adibiwa huona kuwa wanaonewa. Hali hii imezuwa utata mwingi kiasi cha sheria inayoweza kuleta mwongozo kulakibiwa.
Watoto ambao wamepumbazwa na wazazi kwa hali na mali wanaweza kujitumbukiza katika mambo maovu. Wazaiz wao husalimika tu baada ya kuona kuwa maabo yamewazidia.huwa mambo yamefikia kiwango cha kutorekebishwa hii imewezesha wengi wa wazazi hao kuelewa kuwa mgalla muue lakini haki yake mpe

1. Ulimengu wa leo
a. Watu hawajali wenzoa
b. Huwa na maendelo makubuwa
c. Huwa na bala ya kufungana
d. Huwa na nadra kukutana
2. Jambo linacho leta balaa ni
a. Maadili mabaya
b. Maendeleo
c. Waja
d. kufumkana
3. visa vime kuwa visingiti huku nikumanisha
a. vioina mbele katika jamii
b. vielelizo katika jamii
c. vikwamizi katika jamii
d. vipiga msasa katika jamii
4. Neno gaqni linaloweza kutumika badala ya neon UKWARE
a. Uongo
b. Ukahaba
c. Aibu
d. umasha
5. ni maelezo yapi yanyo oyesha kwamba akina dada na mawaziri wa jiingiza katika michezo hatari
a. hali hii ni ku kanyanga chechele
b. gurudumum la maisha imekuwa zito
c. ukware unahusu watu mashuhuri
d. mambo yamebadilika kiasi cha kutoaminika
6. ni jambo gani ambalo lina dokeza kushamiri kwa maadili mageni
a. dunia kwa kijiji kidogo
b. mtambo wa kisasa
c. uputiko kila uchao
d. kuazima tabia sisisi
7. “matokeo yake yamekuwa ni majonzi ,kusaga meno na isitoshe kupunguka kwa nguvu kazi.”Hii nina maana kuwa
a. Hali hii imeleta kudhoofika uchumi
b. Hali hii imehujumu umri wenye kutegemea
c. Hali hii imeleta uchache
d. Hali hii imeleta hekaheka katika jamii
8. Eleza maana ya kujitia “hamanazo”kama ilivyotumiwa katika habari
a. Hawajali
b. hawajiwezi
c. hawana
d. wanahepa
9. chagua kichwa mwafaka kwa habari hii
a. ulimwengu ni kigeugeu
b. maendeleo huathiri jamii
c. maadili mema ya zingatiwe
d. maadil mabovu ya meletwa na kuiga taabia potovu
10. Methali “mgalla muue na haki yake mpe” ina maana wazazi wale
a. Walikubali kuwa walimu walifanya kazi nzuri
b. Walikata kazi ya walimu na kuwamuru wauliwe
c. Waliamini kuwa afadhali mgalla kuliko mwalimu
d. Walikubali kuwa haki ya mtu haifai kubadilika ila tu awe mgalla.

kiswahili revision papers