4.4. Kifungu cha Kujibu Maswali cha Nne Sehemu ya Nne - Maswali

posted Jun 21, 2015, 9:17 PM by Maurice Nyamoti   [ updated Aug 1, 2015, 11:02 PM ]

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1-10


Munguwana asipo muturu mtu yeyote haionyeshi kama hana nguvu kufanya madahra.haudhi wala hamdhuru mtu yeyote kwa sababu ajuwe kwamba ushenzi kamahuwo ni kinyumw cha ungu wana.aelewa heshima ya mta naye kumheshimu kila mtu wema hauozi nawejiheshimu uta heshimwa
Na tabia njema kwa wa wageni na jaMII zake vile vile, siku zote nimwema kama mzazi muaminfu: kama rafiki na msaidizi kama ndugu . Ana faa kamab raifiki wa dhiki . huten da na tena hujiendesha kama raia mwadilifu aju wea kazi na madaraka yake kwa watu huchukuwa na watumishi wa kwa mapenzi ,huruma na upole hujiheshimu na kwa sasbabu hu wa heshimu wengine ni maaminify katkta matendo yake na amini katika ahadi zake.Ahadi ya munguwa ndiyo mkataba ya watu unguwa haitokani na maelezo ya shule ile hukokana na unguwa wa kuweli,kwami ada ya mja hunenea mguwana nikitendo
Tabia za unguwa zina dhamani kubwa sana kwa mweyezi mungu ni thawabu.unguwa siutumwa mnyama ni mnyama tu na mikia ndiyo maana hana dhima wala hadhi ,hafai wala havai nguo naam,ndiyo mnyama wa mnyama unoonekana katika matendo yake na wewe je?. Uliye binadamu ubinadamu wako unwutumia na kuonyesha vipi ili uwe tofauti na mnyama? Kumbuka ukitenda kitendop chochote mithili atendaviyo hayawani tuta shindwa kuona tofauti kati ya viumbe hivi viwili yani mnyama hayawani na mnyama mtu huitwa mtu kwa sababu na utu,naye nirazimi mweye silika njema lakini matendo hukidhi haja maridhwa kuliko manono.

1. Munguwa hathuru wengine kwa sababu
a. Hana nguvu
b. Hana heshima
c. Hajuwi madhara
d. yumwadilifu
2. kuwadhuru wengine ni kitendo cha
a. kishenzi
b. kiunguwana
c. heshima
d. nguvu
3. wema wa mwunguwa umemithilishwa na wa
a. rafiki
b. mzazi
c. ndugu
d. raia
4. mwuguwana huzingaita
a. ahadi zake
b. chuki zake


5. mkataba ni neno lenye maana sawa na
a. vitabu
b. maktabu
c. mapatano
d. urfiki
6. kuwa muguwana hutokana na
a. malezi ya shule
b. elimu kubuwa
c. utajiri
d. malezi ya kuzaliwa
7. Neno ada limetumwia kumainsha
a. Malipo
b. Taabia
c. Uongo
d. maneno
8. mtu aki ufuwa moyo wa kiyama atavaa moyo wa
a. kiwanyama
b. kiubinadamu
c. kibinadamu
d. kimtu
9. tofauti kati ya binadamu namnyama ni kuwa mnyama ana unyama na mtu ana
a. utu
b. umtu
c. kutu
d. mtu
10. kinyume cha hawayani kulingana na hadithi hii ni
a. insi
b. nzi
c. mkwasi
d. razini

kiswahili revision papers